Leo tarehe 08 Machi, 2022 wanawake kutoka Tume ya Madini Makao Makuu pamoja na Ofisi za Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa, wameungana na wanawake wengine duniani kusheherekea Siku ya Wanawake Duniani.
Kaulimbiu ya Siku ya Wanawake 2022 ni Kizazi cha Haki na Usawa kwa Maendeleo Endelevu.


No comments:
Post a Comment