HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 21, 2022

MAZISHI YA PADRE FRANCIS KANGWA


Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Padre Francis Kangwa (49) likishushwa kaburini wakati wa mazishi yake yamefanyika leo Aprili 21, 2022 katika Kituo cha Hija Pugu Jimbo Katoliki la Dar es Salaam.

Padre Kangwa raia wa Zambia ambaye alikuwa Paroko wa Parokia ya Mbezi Mshikamano iliyopo Wilaya ya Ubungo Dar es Salaam, mwili wake ulikutwa Aprili 15 ndani ya tenki kubwa la maji lililopo katika makazi ya mapadri eneo la Posta. Picha na Habri Mseto Blog.

No comments:

Post a Comment

Pages