HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 20, 2022

Rais Samia atembelea Kiwanda cha Kiwanda cha SC Johnson Family Chicago Marekani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akitembelea Kiwanda cha SC Johnson Family kinachotengeneza Viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti Wadudu wanaodhuru waenezao Magonjwa mbalimbali kilichopo katika mji wa Chicago Nchini Marekani leo tarehe 19 Aprili 2022.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa na Dkt. H. Fisk Johnson Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SC Johnson Family wakati alipotembelea kiwanda kinachotengeneza Viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti Wadudu wanaodhuru waenezao Magonjwa mbalimbali kilichopo katika mji wa Chicago Nchini Marekani leo tarehe 19 Aprili 2022.


No comments:

Post a Comment

Pages