HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 22, 2022

Rais Samia azungumza na wabunifu, wadau wakubwa wa Tasnia ya Filamu Los Angeles

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wabunifu mbalimbali pamoja na Wadau wakubwa wa Tasnia ya Filamu katika Jiji la Los Angeles nchini Marekani leo tarehe 21, Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja Wabunifu mbalimbali pamoja na Wadau wakubwa wa Tasnia ya Filamu katika Jiji la Los Angeles nchini Marekani mara baada ya kuzungumza nao leo tarehe 21, Aprili, 2022.

No comments:

Post a Comment

Pages