HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 20, 2022

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEGAWA SADAKA YA FUTARI KWA WANANCHI WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA WENYE MAHITAJI MAALUM


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi sadaka ya futari mmoja ya Wananchi wenye mahitaji maalum Bw.Salmin Amour, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi sadaka ya futari kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi, iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).

 WANANCHI wenye mahitaji maalum wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kutowa nasaha zake wakati wa hafla ya kugawa sadaka ya futari kwa Wananchi hao iliofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square michezani Unguja.

No comments:

Post a Comment

Pages