HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 01, 2022

BENKI YA CRDB yafuturisha wateja, wadau

Mkurugenzi Mtendaji  wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati) akiwasili katika eneo maalumu lililoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja na wadu kupata futari katika ukumbi wa Kimataifa wa JNICC jijini Dar es Salaam. 


Mkurugenzi Mtendaji  wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akisalimiana na wateja pamoja na wadu mbalimbali wakati wa futari ilioandaliwa na benki hiyo.
Kamanda wa Polisi Kandaa Maalumu ya Dar es Salaam (CP) Muliro Jumanne Muliro (kulia) akibadilishana mawazo na Kamanda mstaafu wa kanda hiyo Suleiman Kova.


Mkurugenzi Mtendaji  wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akigawa tende kwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri Jamse wakati futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB.

Baadhi ya wateja na wadau mbalimbali wa Benki ya CRDB wakipata futari.



 




No comments:

Post a Comment

Pages