Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Ghana, Nana Akufo-Addo kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ikulu ya Accra (Jubilee House) nchini Ghana tarehe 24 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Ghana, Nana Akufo-Addo katika Ikulu ya Accra (Jubilee House) nchini Ghana tarehe 24 Mei, 2022.
No comments:
Post a Comment