Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi akimtunuku cheti Mwenyekiti wa Baraza la Uratibu wa NGOs Taifa (NACONGO), Lilian Badi, mmoja wa Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi yanayotolewa na Chuo cha Uongozi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wahitimu wa wa Mafunzo ya Uongozi yanayotolewa na Chuo cha Uongozi wakiwa katika picha ya pamoja.
May 17, 2022
Home
Unlabelled
WAHITIMU MAFUNZO YA UONGOZI WAKABIDHIWA VYETI
WAHITIMU MAFUNZO YA UONGOZI WAKABIDHIWA VYETI
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment