Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi mbalimbali kabla ya
kushuhudia utiaji Saini Mikataba ya miradi ya Maji kwa ajili ya Miji 28 kwenye
hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 06 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishuhudia utiaji Saini
Mikataba ya miradi ya Maji kwa ajili ya Miji 28 kwa Wakandarasi walioshinda
zabuni kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 06 Juni,
2022.
No comments:
Post a Comment