HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 03, 2022

CRDB waingia makubaliano na Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar

 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akibadilishana hati na Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa  Serikali Mtandao Zanzibar (E-Government ), Said Seif Said muda mfupi baada ya kutiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano wa Huduma ya Malipo kwa Mtandao baina ya Benki ya CRDB na Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar (E-Government), utakaolenga kuboresha huduma zitolewazo kwa Wateja na Watanzania kwa ujumla ikiwa ni pamoja na kurahisisha ukusanyaji mapato, malipo ya Taasisi za Serikali na binafsi  ikiwamo ada na kusaidia ukuaji wa utalii kwa kuwa na kituo kimoja cha makusanyo (one centre collection). Hafla hiyo imekafika leo kwenye Hoteli ya Park Hyatt, Unguja, Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

Pages