HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 06, 2022

Rais Samia awapongeza Serengeti Girls Ikulu Jijini Dar es Salaam

 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa, Katibu wa Wizara hiyo Dkt. Hassan Abbasi, Rais wa Shirikisho la Mpira wa miguu nchini TFF Bw. Wallace Karia katika picha ya Pamoja na Timu ya Taifa ya Wanawake wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Girls) kabla ya hafla ya kuwapongeza iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimpa zawadi Nahodha wa Timu ya Taifa ya Wanawake wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Girls) Noela Luhala kwa niaba ya Wachezaji wenzake kwenye hafla ya kuwapongeza iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Julai, 2022. (PICHA NA IKULU).

No comments:

Post a Comment

Pages