Meneja wa Mawsiliano na Uhusiano wa Tanzania Commercial
Bank (TCB) Gloria Mutta (watano kulia) akikabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali
ya kibinadamu ikiwemo Unga, sukari ,mafuta maziwa, mchele na vinginevyo kwa
Mkuu wa Kitengo cha Wanafunzi wenye ulemavu wa
akili kilichopo katika shule ya
msingi Bunju B, jijini Dar es Salaam. Wengine pichani ni Afisa Masoko wa Benki hiyo
Dorothea Lymo, watoto pamoja na Msaidizi wa Mkuu wa kituo hicho Asaph Marere. Hafla hiyo
imefanyika leo shuleni hapo.Afisa Masoko wa Tanzania
Commercial Bank (TCB) Dorothea Lymo, akikabidhi
msaada wa mahitaji mbalimbali ya kibinadamu ikiwemo Unga, sukari ,mafuta
maziwa, mchele na vinginevyo kwa Mwenyekiti wa kituo hicho Salehe Athuman cha
wanafunzi wenye ulemavu wa akili
katika
shule ya msingi Bunju B, jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Meneja wa Mawsiliano na Uhusiano waTanzania Commercial Bank
(TCB) Gloria Mutta, uongozi wa kituo hicho pamoja na wanafunzi hao hafla hiyo
imefanyika leo shuleni hapo.
Meneja wa Mawsiliano na Uhusiano wa Tanzania Commercial
Bank (TCB) Gloria Mutta (watatu kulia), akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha
Wanafunzi wenye ulemavu wa akili kilichopo katika shule ya msingi Bunju B, Gloria Mataba, wakati wa hafla ya benki ya
TCB ilipokwenda kutembelea kituo hicho
nakutoa misaada ya vitu mbalimbali vya kibinadamu. Wengine pichani ni Mkuu wa
kituo msaidizi Asaph Marere pamoja na wanafuzi hao.
Meneja wa Mawsiliano na Uhusiano wa Tanzania Commercial
Bank (TCB) Gloria Mutta (wanne kulia), pamoja na Meneja Masoko wa Benki hiyo Dorothea Lymo
wakiwaraki watoto wenye ulemavu wa akili wanaolelewa katika kituo kilichopo
ndani ya shule ya msingi Bunju B walipokwenda kuwatembelea na kuwapa msaada wa mahitaji mbalimbali.
No comments:
Post a Comment