HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 24, 2022

RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUTOA MAFUNZO YA UONGOZI KWA VIONGOZI

 


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akifunga mafunzo ya Sanaa ya Uongozi (The Art of Leadership) kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge na Utawala na Serikali za Mitaa (USEMI) yaliyotolewa na Taasisi ya UONGOZI jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya USEMI na baadhi ya Watendaji wa Serikali, mara baada ya waziri huyo kufunga mafunzo ya Sanaa ya Uongozi (The Art of Leadership) yaliyotolewa na Taasisi ya UONGOZI kwa wajumbe wa kamati hiyo jijini Dodoma.
 

No comments:

Post a Comment

Pages