Mkurugenzi wa Manunuzi Benki ya CRDB, Pendason Philemon (kulia) akipokea tuzo ya Huduma Bora za Kidijitali katika Sekta ya Benki (Most Advanced Digital Banking Services) Afrika Mashariki kutoka kwa Mkurugenzi wa Biashara na Masoko Vodacom, Linda Riwa katika tuzo za Consumer Choice Awards zilizofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jana Novemba 12, 2022. Katika tuzo hizo Benki ya CRDB pia ilitunukiwa tuzo ya Benki Bora katika kipengele cha Huduma kwa Wateja (Most Preferred Domestic Bank at Customer Service).
Mkurugenzi wa Manunuzi Benki ya CRDB, Pendason Philemon (kulia) akipokea tuzo ya Benki Bora katika kipengele cha Huduma kwa Wateja (Most Preferred Domestic Bank at Customer Service) kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kilombero Sugar, Guy Williams katika tuzo za Consumer Choice Awards zilizofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Novemba 12, 2022. Katika tuzo hizo Benki ya CRDB pia ilitunukiwa tuzo ya Huduma Bora za Kidijitali katika Sekta ya Benki (Most Advanced Digital Banking Services) Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Manunuzi Benki ya CRDB, Pendason Philemon, akiwa ameshika tuzo ya Benki Bora katika kipengele cha Huduma kwa Wateja.
Mkurugenzi wa Manunuzi Benki ya CRDB, Pendason Philemon (watatu kulia) na Moureen Mollel, Meneja Mipango ya Biashara Benki ya CRDB (wapili kushuto) pamoja na viongozi wengine waandamizi wa benki hiyo katika picha ya pamoja wakionyesha tuzo ya Benki Bora katika kipengele cha Huduma kwa Wateja (Most Preferred Domestic Bank at Customer Service) na tuzo ya Huduma Bora za Kidijitali katika Sekta ya Benki (Most Advanced Digital Banking Services) Afrika Mashariki ambazo benki hiyo imetunukiwa katika hafla ya tuzo za Consumer Choice Awards zilizofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jana Novemba 12, 2022. Hii ni mara ya pili mfululizo kwa Benki ya CRDB kushindo tuzo hizo zinazotokana na maoni ya wateja/ watumiaji wa huduma.
No comments:
Post a Comment