HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 02, 2023

BENKI YA NMB YASHIRIKI KILELE CHA WIKI YA SHERIA

Benki ya NMB imeshiriki kilele cha wiki ya Sheria nchini iliyomalizika Februari 1, 2023 jijini Dodoma ambapo katika kilele hicho kimehitimishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambapo alikuwa mgeni rasmi.

Meneja wa Kanda ya Kati NMB, Nsolo Mlozi (kulia) akisalimiana na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Prof. Edward Hosea.

 
Meneja wa Kanda ya Kati NMB, Nsolo Mlozi (kulia) akisalimiana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, akisalimiana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Feleshi.

No comments:

Post a Comment

Pages