HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 12, 2023

WAZIRI WA ZAMANI WA MAMBO YA NJE TANZANIA BERNARD MEMBE AFRAIKI DUNIA

Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Kamilius Membe amefariki Dunia katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.


Taarifa za awali zinasema kuwa Membe alipata changamoto ya kifua na kupelekwa hospitalini leo alfajiri na kufariki wakati akipatiwa matibabu. Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.

No comments:

Post a Comment

Pages