HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 25, 2023

WAPINZANI WA AZAM FC, SINGIDA BIG STARS HAWA HAPA CAFCC

Na Mwandishi Wetu


Ratiba ya hatua za awali mashindano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Barani Afrika imetoka hadharani mchana wa leo.


Tanzania katika kombe la Shirikisho inawakilishwa na klabu za Azam FC pamoja na Singida Big Stars ambapo Bahir Dar ya (Ethiopia) vs Azam FC (Tanzania).


Mshindi atacheza na Club Africain (Tunisia) ambapo mshindi wa jumla ataenda makundi ya kombe ya shirikisho Africa.


Wakati huo huo Singida Big Stars watacheza na JKU ( Zanzibar ), mshindi atacheza na Future SC ya (Misri) ambapo mshindi wa jumla anaenda makundi ya kombe ya Shirikisho Afrika CAF CC.

No comments:

Post a Comment

Pages