Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Ikulu, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Jamal Kassim Ali (kushoto), akimkabidhi Tuzo Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Chuo Kikuu Dodoma, CPA David Mwakapala tuzo ya mshindi wa pili katika kundi la Taasisi za Elimu ya Juu ya Uandaaji wa hesabu kwa kutumia viwango vya kimataifa kwa taasisi za Umma. Kulia ni Mkaguzi wa Ndani Chuo Kikuu cha Dodoma, CPA Fredy na wa pili kulia ni Mhasibu Mkuu wa Kitengo cha Malipo huo Kikuu cha Dodoma CPA, Dickson Hango. Hafla ya kukabidhiwa tuzo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi wa Fedha Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), CPA Mwanjaa
Lyezia, akiwa ameshika tuzo ya mshindi wa pili katika kundi la Taasisi za Elimu ya Juu ya Uandaaji
wa hesabu kwa kutumia viwango vya kimataifa kwa taasisi za Umma. Hafla ya
kukabidhiwa tuzo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment