Magdalena Nakomolwa kutoka Kitengo cha Huduma kwa Wateja Benki ya CRDB, akipiga simu kumtafuta mmoja kati ya washindi watatu wa droo ya pili ya Kampeni ya Shinda na TemboCard watakaojishindia safari ya kwenda kushuhudia Fainali za Total Energies CAF AFCON. Kulia ni Meneja Mwandamizi Huduma za Kadi Benki ya CRDB, Karington Chahe na kushoto ni Mr. TemboCard, Dj Allybi.
Magdalena Nakomolwa kutoka Kitengo cha Huduma kwa Wateja Benki ya CRDB, akipiga simu kumtafuta mmoja kati ya washindi watatu wa droo ya pili ya Kampeni ya Shinda na TemboCard jijini Dar es Salaam leo Januari 26, 2024. Kulia ni Meneja Mwandamizi Huduma za Kadi Benki ya CRDB, Karington Chahe.Magdalena Nakomolwa kutoka Kitengo cha Huduma kwa Wateja Benki ya CRDB akizungumza wakati wa kuchezesha droo ya pili ya Kampeni ya Shinda na TemboCard jijini Dar es Salaam leo Januari 26, 2024 ambapo washindi watatu wamejishindia safari ya kwenda kushuhudia Fainali za Total Energies CAF AFCON 2023.Meneja
Mwandamizi Huduma za Kadi Benki ya CRDB, Karington Chahe (kulia) akizungumza wakati wa kuchezesha droo ya pili ya Kampeni ya Shinda na
TemboCard iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo Januari 26, 2024 ambapo washindi watatu wamejishindia safari ya kwenda kushuhudia
Fainali za Total Energies CAF AFCON 2023.
No comments:
Post a Comment