Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara pamoja na Wawekezaji wa Tanzania na Indonesia katika Mkutano wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji. Mkutano huo ulifanyika Jijini Jakarta katika muendelezo wa ziara yake ya Kitaifa nchini Indonesia tarehe 25 Januari, 2025.Wawekezaji pamoja na Wafanyabiashara wakiwa kwenye mkutano wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji uliofanyika Jijini Jakarta nchini Indonesia tarehe 25 Januari, 2025.Wawekezaji pamoja na Wafanyabiashara wakiwa kwenye mkutano wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji uliofanyika Jijini Jakarta nchini Indonesia tarehe 25 Januari, 2025. Wawekezaji pamoja na Wafanyabiashara wakiwa kwenye mkutano wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji uliofanyika Jijini Jakarta nchini Indonesia tarehe 25 Januari, 2025. Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mkutano wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji uliofanyika Jijini Jakarta nchini Indonesia tarehe 25 Januari, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji uliofanyika Jijini Jakarta katika muendelezo wa ziara yake ya Kitaifa nchini Indonesia tarehe 25 Januari, 2025.Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mkutano wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji uliofanyika Jijini Jakarta nchini Indonesia tarehe 25 Januari, 2025.Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mkutano wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji uliofanyika Jijini Jakarta nchini Indonesia tarehe 25 Januari, 2025.Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mkutano wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji uliofanyika Jijini Jakarta nchini Indonesia tarehe 25 Januari, 2025.
January 25, 2024
Home
Unlabelled
Rais Samia Suluhu Hassan ahutubia katika Jukwaa la Biashara na Uwekezaji, Jakarta nchini Indonesia
Rais Samia Suluhu Hassan ahutubia katika Jukwaa la Biashara na Uwekezaji, Jakarta nchini Indonesia
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment