HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 18, 2024

RAIS DK. HUSSEIN MWINYI AFUNGUA SKULI YA HAMID AMEIR GONGE


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein katika moja ya Darasa la Skuli ya Msingi ya Hamid Amier Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kuifungua Skuli hiyo, uzinduzi huo uliofanyika leo 17-4-2024, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Pages