HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 27, 2024

Bulls Football Academy mabingwa Dar Youth Cup Min

Washindi wa shindano la Dar Youth Cup Mini kwa wavulana wa umri chini ya miaka 13, Bulls Football Academy wakifurahia kombe baada ya kukabidhiwa. Shindano dogo la Dar Youth Cup linahusisha timu 4 za  wavulana na linafanyika kwa wikiendi 4 mfululizo shindano la wavulana na wasichana walio na miaka 13. (Picha na Miraji Msala)



Mchezaji wa timu ya Bulls, Aymain Riziwan ( katikati), akijaribu kuwatoka wachezaji wa timu ya West Boys, walipokutana kwenye michezo wa fainali  katika uwanja wa Soccer Point Mikochen, jijini Dar as Salaam juzi.


No comments:

Post a Comment

Pages