HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 02, 2024

UTT AMIS yatoa elimu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa Wananchi waliofika katika Maonesho ya Sabasaba

Baadhi ya wananchi wakipata maelezo kutoka kwa Afisa Mkuu Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTTAMIS, Martha Mashiku kuhusu uwekezaji unaofanywa na taasisi hiyo kupitia mifuko yake ya Uwekezaji wa Pamoja katika banda lao lililopo kwenye Maonesho ya 48 ya Kimataiafa ya Biashara yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. (Na Mpiga Picha Wetu).

Afisa Mkuu Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, Martha Mashiku (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo katika banda lao lililopo kwenye Maonesho ya 48 ya Kimataiafa ya Biashara yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

 

Afisa Masoko wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, Paschazia Charles (kushoto) akimsajili mteja mpya Bw. Nsumbalimi Gilya kwa njia ya mtandao alipofika katiba Banda la UTT AMIS katika Maonesho yua 48 ya Kimataiafa ya Biashara (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.

Afisa Masoko wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, Florence Mwalusito, akitoa maelezo kuhusu uwekezaji unaofanywa na taasisi hiyo kupitia mifuko yake ya Uwekezaji wa Pamoja kwenye viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Afisa Masoko Mwandamizi wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, Oliver Minja (kulia), akitoa elimu kuhusu uwekezaji unaofanywa na taasisi hiyo kupitia mifuko yake ya Uwekezaji wa Pamoja kwenye viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. 

Wananchi wakipata maelezo katika Banda la Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS. Kushoto ni Afisa Masoko na Uhusiano wa kampuni hiyo, Waziri Ramadhan akitoa elimu ya wezaji wa Pamoja.

Afisa wa UTT AMIS (kulia) akimhudumia mwananchi aliyefika katika banda la kampuni hiyo kwa ajili ya kufungua Mfuko wa Watoto.

 

No comments:

Post a Comment

Pages