HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 26, 2024

NHIF Mkoa wa Kinondoni kuwaunganisha Dawasa kwenye huduma za ziada


Meneja wa Ofisi ya Mfuko Mkoa wa Kinondoni akisisitiza namna ambavyo uchangiaji wa huduma za ziada unavyofanyika sanjari na ongezeko la wigo wa huduma,kwa menejimenti ya Mamlaka ya Maji Safi na maji taka (DAWASA), ambapo Menejimenti ya mamlaka hiyo pamoja na watumishi wake wote inataraji kuanza kuipata. Mkutano huo umefanyika katika ofisi za mamlaka hiyo MAJI HOUSE jijini Dar es Salaam leo. (Na Mpiga Picha Wetu).

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi Dar es Salaam (DAWASA) ndg. Mkama Bwire akimshukuru Meneja wa NHIF ofisi ya Mkoa wa Kinondoni baada ya kuwasilisha mada kuhusu huduma za ziada ambapo mamlaka inatarajia kuanza kuzipata kwa watumishi wake,mkutano huo umefanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mamlaka hiyo MAJI HOUSE jijini Dar es Salaam leo.

Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Kinondoni Dk. Raphael Mallaba akiwasilisha mada kuhusu kitita cha mafao ya ziada (Supplimentary Package) kinachotolewa na NHIF sambamba na maboresho yanayoendelea kutekelezwa kwa menejimenti ya Mamlaka ya maji safi na maji taka (DAWASA), katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za mamlaka hiyo MAJI HOUSE jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages