HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 24, 2025

Dkt. Mwinyi awasili Pemba kufunga kampeni

Na Mwandish Wetu, Pemba


Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameondoka Unguja leo, tarehe 23 Oktoba 2025 na kuwasili Pemba. 

Rais Dkt. Mwinyi anatarajiwa kukutana na wakulima wa Karafuu, kukabidhi boti ya wagonjwa (Ambulance) pamoja na kufunga Kampeni za Uchaguzi Mkuu za Chama Cha Mapinduzi kwa upande wa Pemba.

No comments:

Post a Comment

Pages