1.
Naibu Mufti Mkuu wa
Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wadi akimpa zawadi mmoja wa washindi katika
Mashindano ya Kuhifadhi Qur An yaliyofanyika Wilaya ya Mjini Unguja, Zanzibar,
Machi 18, 2026 ambapo viongozi mbalimbali walihudhuria akiwemo, Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni.
Naibu Mufti Mkuu wa
Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wadi akizungumza wakati wa Mashindano ya
Kuhifadhi Qur An yaliyofanyika Wilaya ya Mjini Unguja, Zanzibar, Machi 18, 2026
ambapo ambapo viongozi mbalimbali walihudhuria akiwemo, Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni.
1.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza wakati wa
Mashindano ya Kuhifadhi Qur An yaliyofanyika Wilaya ya Mjini Unguja, Zanzibar,
Machi 18, 2026 ambapo mgeni rasmi alikuwa Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh
Mahmoud Mussa Wadi.



.jpg)
.jpg)
.jpg)


No comments:
Post a Comment