Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kenya hapa Tanzania, Catherine Karemu, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kenya hapa Tanzania, Catherine Karemu, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kenya nchini Tanzania, Catherine Karemu, akipokea maua baada ya kuwasili rasmi katika ofisi za ubalozi wa Kenya nchini Tanzania, baada ya kukabidhi hati ya utambulisho kwa Rais Samia.













No comments:
Post a Comment