CRDB yazindua Fainali Ndio Mpango na TemboCardVisa HABARI MSETO 13.3.26 0 Benki ya CRDB imezindua kampeni ya Fainali ndio mpango na Tembo Card Visa, kampeni ambayo inalenga kuhamasisha wadau, wananchi na wapenzi wa... Read more »
UWT WILAYA YA KIBAHA MJI WAANZA TAMBO RASMI ZA KUSHUKURU KWA USHINDI WA KISHINDO UCHAGUZI MKUU HABARI MSETO 11.3.26 0 NA VICTOR MASANGU, KIBAHA Jumuiya ya umoja wa wanawake (UWT) Wilaya ya Kibaha mjini katika kukiimarisha chama imeamua kufanya ziara maal... Read more »
KATIBU MKUU CCM AFUNGUA MAFUNZO YA UONGOZI NA UTAWALA BORA HABARI MSETO 10.3.26 0 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Asha-Rose Migiro, leo Jumatatu,Machi 9,2026, amefungua rasmi mafunzo maalum ya Uongozi na Uta... Read more »
Umoja wa madereva bajaji watoa feni kituo cha polisi Tegeta A HABARI MSETO 10.3.26 0 Na Miraji Msala Umoja wa madereva wa bajaji katika eneo la Goba Mpakani jijini Dar es Salaam umetoa msaada wa feni kwa Kituo cha Polisi Te... Read more »
TANZANIA YATEULIWA MWENYEJI KITUO CHA MAFUNZO YA VIJANA KUHUSU MAZINGIRA HABARI MSETO 8.3.26 0 Na Mwandishi Wetu KAMATI ya Wakuu wa Nchi na Serikali ya Umoja wa Afrika ya Mabadiliko ya Tabianchi imeiteua Tanzania kuwa mwenyeji wa kituo... Read more »
NMB yaanika Mafanikio yake katika kujenga Usawa wa Kijinsia HABARI MSETO 8.3.26 0 Wahitimu wa Female Future COHORT 11 (ambao pia ni wafanyakazi wa NMB) walitabasamu mahafali yaliofanyika chini ya udhamini wa NMB, ambako w... Read more »
WANAWAKE WA SF GROUP WAFANYA KWELI JIMBO LA KIBAHA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI HABARI MSETO 7.3.26 0 NA VICTOR MASANGU, KIBAHA Wafanyakazi wanawake wa kampuni ya SF group ya Jijini Dar es Salaam katika kuadhimisha maadhimisho ya siku ya m... Read more »
Waziri Prof. Mkenda Azindua Bodi Mpya ya TCU, Asisitiza Uimarishaji wa Usimamizi na Uthibiti Ubora wa Elimu ya Juu HABARI MSETO 6.3.26 0 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda (Mb), amezindua rasmi Bodi mpya ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), akiwat... Read more »
NMB, PPRA Wazindua Uhakiki wa Dhamana za Zabuni za Kibenki Kidijitali HABARI MSETO 6.3.26 0 BENKI ya NMB na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), wamezindua Huduma ya Uhakiki wa Dhamana za Zabuni za Kibenki Kidijitali ‘Digi... Read more »
WASIMAMIZI MIRADI YA MAENDELEO KAGERA WATAKIWA KUSIMAMIA KWA MAKINI HABARI MSETO 5.3.26 0 NA EDITHA WILLIAM, KAGERA WASIMAMIZI wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Kagera, wametakiwa kusimamia miradi inayotekelezwa katika maeneo yao ili ... Read more »
TET yasisitizwa kuimarisha elimu nchini HABARI MSETO 4.3.26 0 Na Mwandishi Wetu SERIKALI imeitaka Taasisi ya Elimu Tanzania kuendelea kuimarisha ufuatiliaji wa tathimini ya utekelezaji wa mitaala iliyo... Read more »
BALOZI LUVANDA AITAKA NCMC KUYAFIKIA MASOKO YA KIMATAIFA HABARI MSETO 4.3.26 0 Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Balozi Baraka Luvanda amekitaka Kituo cha Taifa cha Kufuatilia Kaboni (NCMC) kui... Read more »