HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 20, 2013

MKUTANO WA CHADEMA JIJINI MWANZA

Umatiu=i wa watu wakiwa katika mkutano wa Chadema.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akihutubia mkutano wa hadhara wa ufunguzi Kanda ya Magharibi kichama, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza. (Picha na Sitta Tumma)
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiwaongoza maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza waliohudhuria mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Furahisha, kuinamisha na kushika kichwa, kisha kutoa sauti kali ukunga, ikiwa ni ishara ya kilio dhidi ya kuporomoka kwa elimu nchini, akisema kuwa matokeo ya Kidato cha IV mwaka 2012 ni msiba mkubwa kwa taifa na kwamba chama hicho hakitakubali Tanzania kugeuzwa taifa la mbumbumbu, huku chama tawala kikiwa hakina sera wala mikakati endelevu ya kuondokana na hali hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages