HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 26, 2013

MFALME MSWATI II ATUA NCHINI KUHUDHURIA MKUTANO WA SMAT PARTNERSHIP

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Mfalme Mswati wa II wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Juni 26, 2013. Mfalme Mswati wa ii, ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 'Smat Partnership' unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu. Picha na OMR
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mfalme Mswati II, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,  leo Juni 26, 2013. Mfalme Mswati wa II, ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 'Smat Partnership' unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mfalme Mswati II, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,  leo Juni 26, 2013. Mfalme Mswati wa II, ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 'Smat Partnership' unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu. Picha na OMRA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Mfalme Mswati II, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Juni 28, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 'Smat Partnership', unaotarajia kuanza Juni 28. Kushoto ni mke wa Mfalme Mswati. Picha na OMR.

No comments:

Post a Comment

Pages