HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 01, 2013

WAJUMBE BARAZA KUU UVCCM KUTOKA TANZANIA BARA WAWASILI ZANZIBAR JIONI HII KUSHIRIKI KIKAO

Bandari ya Zanzibar.
 Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu ya UVCCM ambao wamechanganyika na abiria wengine, wakiwa kwenye gati baada ya kushuka katika boti.
 Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM kutoa Tanzania Bara wakitoka bandarini baada ya kuwasili mjini Zanzibar kwa ajili ya kikao cha Baraza hilo kitakachofanyika kesho, Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui
 Baadhi yao wakisubiriana kabla ya kupanda mabasi maalum yaliyoletwa bandarini kuwabeba
 Wajumbe wakiwa katika mabasi.
 Wajumbe wakiwasili Afisi Kuu ya UVCCM Zanzibar.
 Baada ya wajumbe hao kushuka.
Kikundi cga Bras Band cha UVCCM Zanzibar kikijifua kwa mazoezi kwa ajili ya mkutano wa kesho.Imetayarishwa na theNkoromo Blog

No comments:

Post a Comment

Pages