Bondia Said Mundi wa Tanga kushoto akitunishiana misuri na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho jumapili Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam (Picha Zote kwa hisani ya: www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Promota ya mpambano wa masumbwi Mohamed Bawazir katikati akiwa na baazi ya mabondia |
Baadhi ya mashabiki wakishangilia wakati wa upimaji uzito wa mabondia watakaopambana katika ukumbi wa PTA Saba Saba siku ya Desemba 9. |
Bondia Fransic Miyayusho akipima uzito kwa ajili ya kumkabiri Nassibu Ramadhani kushoto mpambano wao wa ubingwa wa WBF utakaofanyika kesho 9 desemba katika ukumbi wa PTA Sabasaba. |
Bondia Nassibu Ramadhani kushoto akitunishina Msuri na bondia Fransic Miyeyusho wakati wa uipimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao wa Desemba 9. |
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya kumkabili mpinzani wake Said Mundi kushoto mpambano utakaofanyika Desemba 9. |
No comments:
Post a Comment