HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 11, 2012

RAIS SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KILIMO MALIASILI-ZANZIBAR



 Watendaji katika Wizara ya Kilimo  na Maliasili  ,wakiwa katika Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiingia katika ukumbi wa Mkutano wa Ikulu Mjini Zanzibar,kuzungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo  na Maliasili,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo ,ikiwa ni kawaida yake kuzungumza na kila Wizara ya Serikali ya Mapinduzi kwa kipindi cha miezi mitatu mitatu.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo  na Maliasili,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

1 comment:

  1. Μy spousе and I absolutеly love your blοg anԁ find a lot οf
    yоur post's to be exactly what I'm loοking for.
    Doeѕ one offеr guеѕt ωritеrs to wrіtе
    content fοr you? I wοuldn't mind publishing a post or elaborating on a few of the subjects you write regarding here. Again, awesome weblog!
    Also see my web page :: Modelling

    ReplyDelete

Pages