Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Uhuru wa Tanganyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Ngoma ya kitamaduni kutoka Zanzibar.
Ngoma ya kitamaduni kutoka Rwanda
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakipita kwa mwendo wa haraka mbele ya Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Uhuru wa Tanganyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Askari wa Kikosi cha majini akitolewa nje ya viwanja kwa ajili ya kupatiwa huduma ya kwanza baada ya kuishiwa nguvu
Kikundi cha sanaa cha Taifa kutoka Rwanda kikitumbuiza katika sherehe hizo
Wasanii wa kikundi cha Taifa kutoka Zanzibara wakitumbuiza kwa ngooma ya kitamaduni kutoka Pemba.
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita kwa mwendo wa haraka mbele ya Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Uhuru wa Tanganyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Watoto wa alaiki wakiwa katika gwaride la miaka
51 vya Uhuru wa Tanganyika zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es
Salaam
Watoto,
Gozibety Mbwele (3) na Nyamburi Mganga (5) wa kikundi cha Utandawazoi kutoka
Mwanza wakionesha manjonjo yako wakati wa sherehe za miaka 51 ya Uhuru wa
Tanganyika zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Vijana wa alaiki wakitengeneza maumbo ya vitabu.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mama Maria Nyerere wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Uhuru wa Tanganyika uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment