Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo mchana ametunuku nishani kwa watu kutoka makundi mbalimbali yajamii waliotumikia taifa kwa uadilifu na kutoa mchango wa pekee.Miongoni wa waliotunukiwa nishani leo ni pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa Eusebia Munuo pamoja na Msanii Mkongwe Bi.Fatma Baraka Khamis(Bi.Kidude).Wengine waliotunikiwa nishani ni pamoja na Watumishi wa umma na askari Jeshi na Polisi. (Picha na Freddy Maro).
Bi. Kidude akiveshwa nishani na Rais Jakaya Kikwete Ikulu leo
Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Eusebia Munuo akivishwa nishani
bear grylls messer
ReplyDeleteFeel free to surf my blog post :: bear grylls messer