HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 07, 2013

LIONEL MESSI AKUMBATIWA, APIGWA BUSU ARGENTINA IKIUA

Picha tofauti zikimuonesha shabiki wa soka wa klabu ya FC Barcelona akiwa amevalia jezi namba 10, akiwa ameingia dimbani na kumkumbatia na kumbusu Mwanasoka Bora wa Mwaka 2012, Lionel Messi. 

Tukio hili lilitokea wakati wa mechi ya kirafiki kati ya Argentina na Sweden, iliyoisha kwa Argentina kushinda mabao 3-2, shukrani kwa wakali wake Sergio Aguero naGonzalo Higuain, pamoja na lile la kujifunga la Michael Lustig.

No comments:

Post a Comment

Pages