HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 07, 2013

MAGAZETI BWANA! ETI BARCELONA YAICHAPA URUGUAY?

 Cesc Fabregas, David Villa na Pedro wakishangilia mabao yao wakati timu ya taifa ya Hispania ikiwa na wakali tisa wa FC Barcelona ilipoichapa Uruguay mabao 3-1 katika mechi ya kirafiki. Vyombo vya habari barani Ulaya vimeubeza ushindi huo na kutania: Barca beat Uruguay... Spain side with NINE Barcelona players crush Suarez and Co!
 Pedro Rodriguez akifumua shuti kuifungia Hispania moja ya mabao yake dhidi ya Uruguay jana usiku.
 Mlinda mlango wa Uruguay, Fernando Musler, akiukodolea macho mpira uliopigwa na Cesc Fabregas kuiandikia Hispania bao katikka mechi dhidi ya Uruguay.
Beki wa kimataifa wa Hispania na klabu ya FC Barcelona, Carles Puyol, akipokea tuzo baada ya kuweka rekodi ya kuichezea timu hiyo ya taifa jumla ya mechi 100. Alikabidhiwa zawadi hiyo wakati Hispania ilipocheza na kuitandika Uruguay huko Doha Qatar, Falme za Kiarabu (UAE).

1 comment:

  1. hello!,I like your writing very much! share we communicate more
    about your article on AOL? I need an expert on this area to solve my problem.
    Maybe that's you! Looking forward to see you.

    my web-site - underamendment.com

    ReplyDelete

Pages