HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 08, 2013

Ujumbe wa Kituo cha biashara Duniani wafika Ikulu ya Zanziibar

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe kutoka  Kituo cha Biashara  Duniani (ITC),Jacky Charbonneau,akiongoza ujumbe wa watu wanne waliofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo  leo.(Picha na Ramadhan Othman Ikulu)
 Ujumbe wa watu wannne kutoka  Kituo cha Biashara  Duniani (ITC),unaoongozwa na Bw,Jacky Charbonneau,(kulia) wakiwa katika mazungumzo ya pamoja na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Uongozi wa Wizara ya\ Biashara Viwanda na Masoko,walipofika Ikulu mjini Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Ujumbe kutoka  Kituo cha Biashara  Duniani (ITC),unaoongozwa na Jacky Charbonneau,ambapo
ujumbe  huo wa watu wanne walifika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo  Rais

No comments:

Post a Comment

Pages