HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 19, 2013

Rais Kikwete amkabidhi mlemavu Bajaji jijini Dar es Salaam

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi msaada wa Usafiri aina ya Bajaji Bwana Bashir Msanda ambaye ni mlemavu wakati wa mwanzo wa ziara yake ya kukagua na kufungua miradi ya maendeleo jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Makabidhiano hayo  ambayo ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Kikwete kumsaidia mlemavu huyo ,yalifanyika katika viwanja vya Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.(Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

Pages