HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 19, 2013

RONALDO ALIVYOKABIDHIWA TUZO YA MCHEZAJI BORA LA LIGA 2012

 Mshambuliaji Cristiano Ronaldo wa Real Madrid, akiwa ameshika tuzo ya Mchezaji Bora La Liga 'Alfredo Di Stefano Award 2012.' Kushoto ni Di Stefano akiwa na mkongojo wake baada ya kumkabidhi mshindi huyo tuzo yake. Tuzo hiyo udhaminiwa na Gazeti la Marca na Kampuni ya Kutengeneza Magari ya Hyundai.
Mshambuliaji Cristiano Ronaldo wa Real Madrid, akimpa mkono Rais wa Heshima wa Real Madrid, baada ya kumkabidhi tuzo ya Mchezaji Bora La Liga 'Alfredo Di Stefano Award 2012.'
Mshambuliaji Cristiano Ronaldo wa Real Madrid, akiwa ameshika tuzo ya Mchezaji Bora La Liga 'Alfredo Di Stefano Award 2012.'
Mshambuliaji Cristiano Ronaldo wa Real Madrid, akiwa ameshika tuzo ya Mchezaji Bora La Liga 'Alfredo Di Stefano Award 2012.' Kushoto ni Di Stefano katika hafla ya kumkabidhi mshindi huyo tuzo yake.
Rais wa Heshima wa Real Madrid ya Hispania, Alfredo Di Stefano, akisaidiwa kusimama katika hafla ya kumkabidhi Cristiano Ronaldo Tuzo ya Mchezaji Bora wa La Liga 2012, iliyofanyika jijini Madrid jana.

No comments:

Post a Comment

Pages