Luka Modric akishangilia na Sergio Ramos, baada ya beki huyo kutokea benchi na kuipatia Madrid bao la ushindi.
Lionel Messi akifunga bao pekee la FC Barcelona, ilipoumana na Madrid kwenye dimba la Santiago Bernabeu jana, ambapo Madrid ilishinda 2-1.
Messi akishangilia bao la kusawazisha, kabla ya Sergio Ramos kuifungia Madrid bao la pili na Barca kulala kwa mara ya pili mfululizo.
Cristiano Ronaldo akisikitika kukosa bao, baada ya shuti lake la 'free kick' kugonga mwamba na kurudi uwanjani.
No comments:
Post a Comment