HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 03, 2013

MANCHESTER UNITED YAIBANJUA NORWICH CITY MABAO 4-0

 Hapa Fergie akisalimiana na kibonzo cha Man Utd kabla ya mechi dhidi ya Norwich City kuanza, ambapo United ilishinda mabao 4-0.
 Wayne Rooney akifumua shuti langoni kwa Norwich City wakati wa mechi ya Ligi Kuu
 Mfungaji wa mabao matatu 'hat-trick' Shinji Kagawa akiwajibika dimbani katika mtanange huo.
 Kagawa akishangilia moja ya mabao yake
Mlinda mlango wa Norwich, Bunn kulia akishindwa kuzuia mpira uliopigwa na Kagawa kushoto.
 Wayne Rooney akimtoka beki wa Norwich City.
 Hakuna kuremba, hapa kazi tu kudadadeki
 Rooney akimtambuka mlinda mlango wa Norwich City
 Rooney akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Norwich City.
Robin van Persie, akiwa chini huku mlinda mlango wa Norwich City akiugulia maumivu baada ya kugongana.

No comments:

Post a Comment

Pages