HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 15, 2013

CRDB YAKABIDHI MADARASA, MADAWATI SHULE YA MSINGI ITAMBALILA MBEYA VIJIJINI

 Madarasa yaliyojengwa na benki ya CRDB.
 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dk. Norman Msigalla akiwa na wanafunzi wa Shule ya Msingi Itambalila mara baada ya benki ya CRDB kukabidhi msaada wa Madarasa na madawati. 
 Mkurugenzi wa Masoko wa CRDB BAnk Tully Mwambapa akifurahia zawadi wa kuku aliyopewa na wanakijiji wa Itambalila Mbeya baada ya kukabidhi madarasa na madawati.Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya vijijini Dr.Norman Msigalla.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dk. Norman Msigalla akikata utepe kufungua ramsi madarasa yaliyojengwa kwa Msaada wa Benki ya CRDB kwa ajili ya Shule ya Msingi Itambalila katika hafla iliyofanyika katika kijiji cha Itambalila, Mbeya. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa Benki huyo, Tully Mwambapa.

No comments:

Post a Comment

Pages