Mfungaji wa mabao yote manne ya Borussia Dortmund ya Ujerumani katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid jana usiku, Roberto Lewandowski akishangilia bao la nne kwa kuonesha vidole vinne.
Lewandowski akifunga bao la kwanza.
Lewandowski akitikisa nyavu za Madrid
Lewandowski akishangilia bao hilo
Mshambuliaji wa Madrid, Cristiano Ronaldo akiisawazishia timu yake dhidi ya Dortmund.
Ronaldo akishangilia bao hilo.
Lewandowski akifunga bao la pili la Dortmund.
Wachezaji wa Dortmund wakimpongeza Lewandowski (wa kwanza kushoto) baada ya kufunga bao la pili.
Lewandowski akifunga bao la tatu.
Wachezaji wa Dortmund wakimpongeza Lewandowski baada ya kufunga bao la tatu.
Lewandowski akifunga kwa mkwaju wa penati kuipa Dortmund ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Madrid.
Kipa wa Madrid, Lopez akipishana na mkwaju wa penati wa Lewandowski.
Furaha ya ushindi baada ya filimbi ya mwisho.
Wachezaji wa Dortmund wakiwashukuru mashabiki wao kwa sapoti waliyowapa katika mechi hiyo.
No comments:
Post a Comment