HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 26, 2013

SHEREHE ZA MIAKA 49 ya MUUNGANO UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi waliofika katika viwanja vya Uhuru jijini dar es Salaam kushuhudia sherehe za miaka 49 ya Muungano. (Picha na Ikulu)
 Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride la heshima wakati wa sherehe za miaka 49 ya Muungano kwenye Uweanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
 Jeshi la Wanamaji (Nevy)
 Kiapo cha Utii kwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete

No comments:

Post a Comment

Pages