Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Prof. John Nkoma akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Kongamamo la wanafuzi kike kusherehekea siku ya mtoto wa kike na TEHAMA (Girls in ICT Day). Jumla ya shule sita zilishiriki katika kongamano hilo lililoandaliwa na TCRA na kufanyika jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Habari Mseto Blog)
Mkurugenzi wa Tume ya Sayansi, Dk. Hassan Mshinde akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kongamano hilo.
Baadhi ya wanafunzi waliohudhuria kongamano hilo wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi (hayupo pichani)
No comments:
Post a Comment