HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 18, 2013

TCRA KUWACHUKULIA HATUA KALI WASIOSAJILI SIM CARD ZAO

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Prof, John Nkoma akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa mkutano uliowashilikisha Makampuni ya simu Tanzania pamoja na wawakilishi kutoka Jeshi la Polisi kuhusu usajili wa Sim Card, ambapo wa Prof. Nkoma mtu yeyeto atakayebaini kutumia sim card ambayo haikusasajiliwa atakabiliwa na faini ya shs 500,000, kifungo cha miezi mitatu jela au adhabu zote kwenda kwa pamoja. (Picha na Habari Mseto Blog) 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo
 Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel
 Wadau wa Sekta ya mawasiliano
Baadhi ya waandishi wa habari.

No comments:

Post a Comment

Pages