HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 18, 2013

CHELSEA YAICHAPA FULHAM, MAN U YANUSURIKA KICHAPO

 Frank Lampard wa Chelsea kushoto, akichuana na Dimitar Berbatov wa Fulhm katika mechi ya Ligi Kuu ya England kwenye dimba la Craven Cottage, iliyomalizika kwa The Blues kushinda mabao 3-0 yakiwekwa kimiani na John Terry (aliyefunga mara mbili) na Fernando Torres. (Picha na Daily Mail la Uingereza)
 Fernando Torres akiwa katika harakati zake dimbani.
 Wachezaji wa Chelsea wakishangilia moja ya mabao yao dhidi ya Fulham.
 John Terry akipiga kichwa kufunga moja ya mabao yake katika mechi hiyo jana usiku.
 Terry akishangilia bao lake
 Torres kazini
 Terry akishangilia bao lake la pili
 Terry kulia na Torres kushoto wakishangilia moja ya mabao ya mechi hiyo.
 Kwenye dimba la Upton Park, wenyeji West Ham United waliambulia sare tata ya mabao 2-2 na Manchester United katika mfululizo wa ligi hiyo. Pichani Robin van Persie akichuana na beki wa Hammers katika mechi hiyo.
 Michael Carrick wa Ma United kulia akichuana na nyota wa Wagonga Nyundo.
 Andy Carroll wa West Ham katikati, akichanja mbuga kumpita Wayne Rooney wa Man United, huku Rio Ferdinand akishuhudia.
 Rooney akitoka kwa huzuni baada ya kocha wake kumfanyia 'sub' ambayo ilionerkana kumkera mno.
 Picha iliyozua utata na kufichua kuwa bao la Van Persie aliotea kabla hajapokea mpira na kufunga kama anavyoonekana pichani akiwa nyuma ya mabeki wa West Ham.
 Hekaheka langoni kwa Man United.
 Vaz Te wa West Ham wa pili kushoto akipiga kichwa cha mbizi kufunga bao la kwanza la timu yake.
 Vaz Te akishangilia na Andy Carrolli
 Antonio Valencia wa Man United, akipiga shuti dogo kuifungia United bao la kwanza katika mechi hiyo.
 Valencia akishangilia na beki Rahael wa Man United.
 Mo Diamme katikati akipongezwa baada ya kuifungia West Ham bao la pili katika mtifuano huo.

No comments:

Post a Comment

Pages