Mikakati ya ushindi
Mshambuliaji wa JKT Oljoro, Paul Nonga akiwatoka mabeki wa
Yanga, Kelvin Yondani na Othuman Idd ‘Chuji’ wakati wa mchezo wa Ligi Kuu
Tanzania bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi.
Yanga ilishinda 3-0. 
Mshambuliaji wa Yanga, Khamis Kiiza akitafuta mbinu za kumtoka beki wa JKT Oljoro.
No comments:
Post a Comment