Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi anayeshuhulikia mashirikiano ya nchi mbili wa Denmark Charlotte Slente,alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana akiwa na ujumbe aliofuatana nao,akiwemo Balozi wa Denmark nchini Johnny Flento, (hayupo pichani) (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi anayeshuhulikia Mashirikiano ya nchi mbili wa Denmark Charlotte Slente,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana akiwa na ujumbe aliofuatana nao, akiwemo Balozi wa Denmark nchini Johnny Flento, (kushoto)
No comments:
Post a Comment